Timu ya taifa ya Kenya na Uganda wametangaza vikosi vyao vya wachezaji 23 vitakavyoshiriki fainali za mataifa ya Afrika 2019 nchini Misri.
Kenya wapo Kundi C na timu za Tanzania, Algeria na Senegal ambapo wao walikuwa nchini Ufaransa kuweka kambi ya maandalizi wakati ambo wenzao Algeria wakiwa Doha Qatar, Senegal wakiwa Hispania wakati Tanzania wakiwa nchini Misri.
Sign in
Welcome! Log into your account
Forgot your password? Get help
Password recovery
Recover your password
A password will be e-mailed to you.