Uncategorized

WATATU WAPIGWA ‘PINI’ KMC

admin June 16, 2019 1:13 pm


UONGOZI wa timu ya Manispaa ya Kinondoni, KMC umeamua kuendelea kuwapiga pini nyota wao wanaowahitaji ambapo leo tena wamemuongezea kandarasi mchezaji wao Cliff Buyoya.

Ofisa Habari wa KMC, Anwar Binde amesema kuwa mpango mkubwa uliopo kwa sasa ni kukisuka kikosi kipya cha ushindani.

“Mchezaji wetu Cliff Buyoya ataendelea kuitumikia KMC, tumemuongezea kandarasi ya miaka mitatu hivyo atadumu mpaka mwaka 2022,” amesema.

Wachezaji wengine ambao tayari wameongeza mkataba ndani ya KMC ni pamoja na Salum Ilanfya na Hassan Kabunda wote pini zao ni miaka mitatu.

POGBA ATAKA KUSEPA MANCHESTER UNITED MAZIMA Amunike kujaribu wengine leo

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply