Uncategorized

Shomari Kapombe bado yuko Simba

admin June 27, 2019 10:53 am

Usajili wa klabu ya Simba unaendelea, ambapo leo kupitia mitandao yao ya kijamii wamedhibitisha kumpa mkataba mpya beki wao wa kulia Shomari Kapombe.

Shomari Kapombe amepewa mkataba wa miaka miwili ndani ya klabu hiyo. Shomari Kapombe bado anafanya mazoezi ya kurudi kwenye hali yake ya kawaida baada ya kutoka kwenye majeraha.

Beki huyo alipata majeraha akiwa na timu ya taifa , taifa stars katika kambi ya timu hiyo iliyokuwa nchini Afrika kusini kujiandaa na mechi ya kufuzu Afcon dhidi ya Lesotho.

The post Shomari Kapombe bado yuko Simba appeared first on Kandanda.

JAGUAR AFIKISHWA MAHAKAMANI, ATAENDELEA KUSOTA RUMANDE KAMA KAWA WABUNGE PIA WAMEONYESHA UDHAIFU KUHUSIANA NA TAIFA STARS, HUU SI WAKATI WA MAKUNDI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply