Uncategorized

KMC WAMALIZANA NA MAJEMBE MAWILI YA CONGO

admin July 4, 2019 12:31 pm

BESALA Bokungu mlinzi wa kati kutoka timu ya Groupe Bazano ya Ligi Kuu ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo amejiunga na KMC kwa kandarasi ya mwaka mmoja.

Bukungu naye tayari amejiunga na kikosi cha KMC ambacho kipo nchini Rwanda kwa ajili ya michuano ya Kagame inayotarajiwa kuanza Julai 7-21.

Bukungu anaungana na kiungo mkabaji Melly Sivirwa ambaye naye ni raia wa Congo  ambaye amesaini kandarasi ya miaka miwili akitokea Vital’ O ya Burundi.

VIDEO: TAIFA STARS WAREJEA DAR YANGA YATOA TAMKO ZITO KUHUSU WACHEZAJI WAKE WANAOWASUMBUA KUSAINI KANDARASI MPYA,

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6131

Leave a Reply