Uncategorized

EXCLUSIVE: YANGA YAMALIZANA NA KIFAA KIPYAA!!

admin July 9, 2019 9:03 pm


Klabu ya Yanga imemalizana rasmi na Mlinda Mlango aliyekuwa anaichezea Mbao FC, Metacha Mnata.

Usajili huo umekuja baada ya makubaliano ya pande zote mbili kati ya mchezaji na klabu.


Mnata alianza kuhusishwa kutua Yanga kwa muda mrefu na hatimaye usajili wake umekamilika rasmi.

Kinachosubiriwa hivi sasa ni kipa huyo kuungana na wachezaji wenzake huko Morogoro ambapo kikosi kimeweka kambi kujiandaa na msimu ujao wa Ligi Kuu Bara.

Ujio wa Mnata Yanga utamfanya achukue rasmi nafasi ya Klaus Kindoki ambaye inaelezwa ataachwa huku namba mbili ikishikiliwa na Ramadhan Kabwili.

MECHI TANO ZA MWANZO KWA YANGA KUNAKO LIGI KUU BARA, WAMO COASTAL UNION VIDEO: TAMKO LA SALEH JEMBE KWA AMUNIKE, AWATAJA WACHEZAJI KUWA WAOGA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply