Uncategorized

HUYU HAPA MRITHI WA EMMANUEL AMMUNIKE

admin July 10, 2019 12:13 pm

JOSEPH Omog, anatajwa kuwa Kocha Mkuu wa muda wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ inayotarajiwa kushiriki michuano ya CHAN.

Omog ambaye aliwahi kuvinoa vikosi vya Azam na Simba kwa nyakati tofauti anatajwa kurithi kwa muda mikoba ya Emmanuel Ammunike.

Ammunike amefikia makubaliano ya kuvunja mkataba wake na Shirikisho la Soka Tanzania, TFF, kutokana na kuwa na mwenendo mbovu na timu ya Taifa ambayo imeishia hatua ya makundi kwenye michuano ya Afcon inayoendelelea nchini Misri.

TIMU YA TAIFA YA WANAWAKE TANZANITE KUSHIRIKI MICHUANO YA COSAFA, VIJANA WAPATA SHAVU TANZIA: MWANDISHI WA HABARI ZA MICHEZO AFARIKI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply