Home Uncategorized TANZIA: MWANDISHI WA HABARI ZA MICHEZO AFARIKI

TANZIA: MWANDISHI WA HABARI ZA MICHEZO AFARIKI

0

KWA masikitiko makubwa, uongozi wa Global Publishers, unatangaza kifo cha mwandishi wake aliyekuwa akiandikia Magazeti ya Michezo ya Championi na Spoti Xtra, Ibrahim Mressy kilichotokea mchana wa leo Julai 10, 2019 jijini Dar es Salaam.
Innalillah Wainna Ilayh Rajiun!