Uncategorized

COASTAL UNION YAUPIGIA HESABU KALI MSIMU UJAO

admin July 13, 2019 11:50 am



KOCHA Mkuu wa Coastal Union, Juma Mgunda amesema kuwa msimu ujao watapambana kupata matokeo chanya kwenye michezo yao yote.

Akizungumza na Saleh Jembe, Mguda amesema kuwa wanatambua msimu ujao utakuwa mgumu hivyo hesabu kubwa ni kujipanga vema.

“Tunajua kwamba msimu ujao hautakuwa mwepesi nasi tumejipanga kufanya vema, mashabiki waendelee kutupa sapoti kwani tuna kazi ngumu ya kufanya,” amesema Mgunda.

UONGOZI WA YANGA KULA SAHANI MOJA NA WAPIGAJI WA NEMBO MASTAA SIMBA WALIVYOANZA KUINGIA KAMBINI LEO – VIDEO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6131

Leave a Reply