Hizi ni barua zilizotoka kwa kabidhi Wasii Mkuu wa Serikali kwenda kwa wakili wa aliyekuwa mdhamini wetu, na pia barua ya Mahakama kwenda kwa wakili huyo zinazothibitisha mdhamini huyo Mzee Hamis Kilomoni siyo mdhamini tena wa klabu yetu ya Simba.
Taarifa hii ilitolewa leo na Afisa Mtendaji Mkuu, Crescentius Magori kwenye mkutano wake na wanahabari.









