Uncategorized

CAF YAFANYA MABADILIKO KWA MECHI ZA LIGI YA MABINGWA AFRIKA, SIMBA NA YANGA KAZI KWENU

admin July 17, 2019 9:01 pm


Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) limefanya mabadiliko ya mechi za mashindano makubwa.

Mabadiliko hayo ni kuanzia msimu ujao wa 2019/20 ambapo limepitisha maamuzi ya mechi za fainali kombe la Shirikisho (CAF Confederation Cup) na klabu bingwa Afrika (CAF Champions League).

Kilichobalika ni kuchezwa mechi moja tu badala ya mechi mbili za nyumbani na ugenini.

Aidha, mechi hizo za fainali zitachezwa katika uwanja huru kwa timu zote zinazofika fainali.

Mabadiliko haya ni sawa na namna mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika pamoja na UEFA Europa League namna yanavyofanyika.

SONSO AVUNJA UKIMYA, AAMUA KUFUNGUKA BAADA YA KUTEMWA STARS NA NDAYIRAGIJE HAJI MANARA AMZUNGUMZIA JACKLINE WOLPER

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply