RATIBA ya robo fainali ya michuano ya Ndondo Cup ipo namna hii:-
Friends Rangers v Uv Temeke uwanja wa Kinesi, Julai 18.
Burudani FC v Ball Kipaji uwanja wa Bandari, Julai 19.
Toroli Combine v Ninga FC uwanja wa Bandari, Julai 20.
Millenium FC v Uruguaay FC, uwanja wa Bandari, Julai 21.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.