Uncategorized

SIMBA NI MWENDO WA DOZI TU AFRIKA KUSINI

admin July 19, 2019 10:01 am

SIMBA hawataki utani msimu wa 2018-19, wakati Meddie Kagere, Francis Kahata, Deo Kanda na Sharaf Shiboub wakinogesha kambi leo tena dozi imeendelea kama kawaida.

Simba kambini Afrika Kusini inapiga dozi ya mara mbili kwa siku asubuhi na jioni ili kujiweka fiti zaidi.

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Simba, Crescentius Magori amesema kuwa hesabu kubwa ni kuimarisha kikosi kiwe na ushindani kitaifa na kimataifa.

AZAM FC WATAKA KUCHEZA MECHI MBILI TU KAGAME JUMA KASEJA AFICHUA SIRI YA KUDUMU KWENYE UBORA WAKE

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply