Uncategorized

SIMBA LEO KUFUNGA HESABU NA ORLANDO PIRATES

admin July 30, 2019 11:08 am


KIKOSI cha Simba leo kinacheza mchezo wake wa mwisho wa kirafiki wa kufunga hesabu dhidi ya Orlando Pirates nchini Afrika Kusini.

Mchezo huo ambao ni maalumu kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao utachezwa majira ya jioni kabla ya kesho kuanza safari kurejea Dar.

Leo kikosi kilisafiri kutoka ilipo kambi yao maeneo ya Rustenburg mpaka Johannesburg sehemu watakayocheza leo.

Patrick Aussems, Kocha Mkuu wa Simba amesema lengo kubwa la michezo hiyo ni kuunda muunganiko bora kwa ajili ya msimu ujao.

SADNEY AKIWASHA YANGA IKIMPIGA MTU BAO 2-0, MORO RATIBA YA KUKUSANYA KIJIJI YA YANGA IPO NAMNA HII

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply