Uncategorized

HAJI MANARA ATANGAZA KUBWAGA MANYANGA NDANI YA SIMBA

admin August 3, 2019 9:52 am

IMEELEZWA kuwa Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara amesema kuwa anampango wa kuachia ngazi ya uongozi ndani ya Simba.

Kwa sasa nafasi ya Ofisa Habari ni miongoni mwa zile ambazo zinatafuta wafanyakazi baada ya Simba kutangaza nafasi za kazi ila bado anashikilia Manara ambaye ndiye Ofisa Habari.

Habari zinaeleza kuwa Manara amesema sababu kubwa itakayomfanya aachie madaraka ndani ya Simba ni pale mashabiki wa Yanga watakapojaza uwanja wa Taifa siku ya Mwananchi Agosti 4 zaidi ya Simba Day Agosti 6.

HIZI NDIZO SABABU ZA KINDOKI KUPIGWA CHINI YANGA, MWILI JUMBA ATAJWA KICHUYA: NINARUDI BONGO KUCHEZA HAKUNA TAABU

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply