Uncategorized

NAHODHA TANZANITE: KICHAPO KINAWAHUSU WAPINZANI WETU KESHO

admin August 3, 2019 4:52 pm

ENEKIA Kasonga, nahodha wa timu ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania chini ya miaka 20, amesema kuwa kesho wanaendeleza moto wao wa ushindi kwenye michuano ya COSAFA.

Tanzanite wamealikwa kwenye michuano hiyo inayofanyika nchini Afrika Kusini na mchezo wa kwanza jana ilishinda kwa mabao 2-0 dhidi ya Botswana.

Kesho watashuka uwanjani kumenyana na Eswatini mchezo wao wa pili utakaochezwa Uwanja wa Gelvaland.

“Morari kwa wachezaji kwa sasa ni kubwa hasa baada ya kushinda mchezo wa kwanza tuna amini tutafanya vizuri na tupo tayari kwa ushindani,” amesema.

WALICHOPANGA SIMBA KIMATAIFA NOMA, MWENDO WA YANGA BALAA, NI KESHO NDANI YA SPOTIXTRA WABABE WA EVERTON WANATAMBA KWA SASA NDANI YA DAR, KESHO KUONYESHA UBABE TAIFA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply