Uncategorized

YANGA WAENDELEA NA SPOTIPESA WIKI YA MWANANCHI

admin August 3, 2019 9:12 am


MASHABIKI wa Yanga wa mkaoni Njombe wamendelea na wiki ya SportiPesaWikiYaMwanachi kwa kufanya shughuli mbalimbali za kijamii.

Licha ya baridi kali ya mkoani Njombe, haikuweza kuwazuia Wanayanga kwa kuwatembelea watoto wenye uhitaji na kufanya shughuli mbalimbali za kijamii.

Wiki ya Mwananchi kilele chake ni kesho uwanja wa Taifa ambapo mbali na kucheza na Kariobangi Sharks watatambulisha jezi mpya na wachezaji.

KIKOSI CHA MAUAJI CHA MBAO FC MSIMU WA 2019/20 HIZI NDIZO SABABU ZA KINDOKI KUPIGWA CHINI YANGA, MWILI JUMBA ATAJWA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply