Uncategorized

YANGA WAZIDI KUMIMINIKA TAIFA, HILO NYOMI KAMA LOTE LEO

admin August 4, 2019 10:37 am


MASHABIKI wa Yanga wanazidi kujitokeza kwa wingi leo uwanja wa Taifa kwa ajili ya kushuhudia burudani maalumu.

Leo Yanga inahitimisha rasmi wiki ya Mwananchi ambapo watacheza mchezo wa kirafiki na timu ya Kariobangi Sharks kutoka Kenya.

Mbali na mchezo watawatambulisha wachezaji wao wote pamoja na jezi mpya ambazo zitatumika msimu ujao.

Mashabiki wanazidi kujitokeza uwanja wa Taifa na kuupendezesha kwa rangi za jezi walizovaa pamoja na nyimbo zao za kishujaa.

BEKI KISIKI WA SIMBA KUTIMKIA MOROCCO WAYNE ROONEY AITAKA MIKOBA YA OLE GUNARR NDANI YA MANCHESTER UNITED

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply