Uncategorized
IKIBAINIKA KWELI, R KELLY KUFUNGWA MIAKA 195
MSANII nguli duniani wa miondoko ya R N B, R. Kelly anayekabiliwa na mshitaka 13 ya unyanyasaji wa kingono huenda akafungwa miaka 195 endapo atapatikana na hatia.
R . Kelly anatarajia kupandishwa kizimbani tena Septemba 14, baada ya siku jana kusomewa mashitaka hayo 13 yakiwemo kunyanyasa, kudhalilisha, na kushambulia wanawake kingono pamoja na kuwarekodi watoto wadogo picha zisizokuwa na maadili.

Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.