Uncategorized

MO HAJAGUSA HATA SHILINGI KWENYE BILIONI 20 KUWEKEZA KWENYE UWANJA WA BUNJU

admin August 5, 2019 11:21 am


MOHAMED Dewji, ‘Mo’ Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Simba amesema kuwa uwekezaji wake wa bilioni 20 haupo kwenye mpango wa Uwanja wa Bunju.

Simba leo imeweka jiwe la msingi kwenye viwanja vyake viwili vya Bunju ambapo Mo amesema kuwa haipo kwenye mpango wa kuwekeza.


 “Uwanja huu unajengwa kwa bajeti inayojitegemea tofauti na ile sh.bilioni 20 ambazo nilisema nitawekeza, ninachotaka tuwe na miundombinu mizuri na tunajenga viwanja viwili ambapo kimoja ni cha nyasi bandia na kingine ni cha nyasi asilia,” amesema. 

Uwekaji wa jiwe la msingi leo ulihudhuriwa na mashabiki wa Simba pamoja na viongozi ambapo mgeni rasmi alikuwa ni Waziri wa Habari, Sanaa, Michezo na Utamaduni, Dr. Harrison Mwakyembe.

SIMBA HAWANA DOGO, WALIANZISHA TENA KISA MTINDO WA UTAMBULISHO WA YANGA VIDEO: YANGA WADAI JANA WAMEIBIWA KILELE CHA MWANANCHI, SIMBA WATAJWA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply