Uncategorized

UWANJA WA SIMBA KUWEKWA JIWE LA MSINGI LEO NA WAZIRI MWAKYEMBE

admin August 5, 2019 5:36 am


WAZIRI wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Harrison Mwakyembe leo anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye uwekaji jiwe la msingi uwanja wa Bunju.

Hafla hiyo inatarajiwa kufanyika kuanzia majira ya saa 4 kwenye uwanja huo uliopo kwenye matengenezo.

Uwanja huo wa Simba ni maalumu kwa ajili ya mazoezi ya timu hiyo ambayo kesho inamenyana na Power Dynamo uwanja wa Taifa.

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATATU PSG YAMKOA NEYMAR JR, YAGOMA KUTOA KWENDA BARCELONA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply