Uncategorized
MWENDO WA KUUJAZA UWANJA WA TAIFA KWA SIMBA UNAENDELEA
TAYARI mashabiki wa timu ya Simba wameanza kuujaza uwanja wa Taifa muda huu kuelekea mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya Power Dynamo.
Leo ni kilele cha SportPesa Simba Wiki ambapo ni siku rasmi kwa Simba kuwatambulisha wachezaji, jezi mpya, zitakazotumika msimu ujao pamoja na wimbo maalumu a Simba.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.