Uncategorized

KMC: MAZINGIRA YA RWANDA TUNAYAJUA HAKUNA KITAKACHOSHINDIKANA

admin August 7, 2019 1:31 am


UONGOZI wa KMC umesema kuwa kwa sasa maandalizi yanaendelea kwa kasi kuelekea kwenye mchezo wao wa kimataifa dhidi ya AS Kigali utakaochezwa nchini Rwanda.

Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Habari wa KMC, Anwar Binde amesema kuwa kwa sasa maandalizi yamepamba moto na hesabu zao ni kuleta ushindani kwenye michezo ya kimataifa.

“Tunatambua kwamba tuna kazi ya kupeperusha Bendera ya Taifa hivyo tunafanya kweli mwanzo mwisho tukiwa ugenini kwani hizo ni hesabu zetu na mipango ya mwalimu.

“Tuna uzoefu na mazingira ya Rwanda hivyo hatuna mashaka na kile ambacho tunakwenda kukifanya hivyo ni wakati wa mashabiki kutupa sapoti ili tufanye vema,” amesema.

MABINGWA WA KOMBE LA FA AZAM FC KUWAFUATA LEO KIBABE WAETHIOPIA KOCHA TANZANITE: NGUVU ZETU SASA NI KWA AFRIKA KUSINI ILI KUTINGA FAINALI COSAFA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply