Uncategorized

NINJA WA YANGA SASA AWA WA KIMATAIFA, USO KWA USO NA IBRAHIMOVIC

admin August 9, 2019 8:04 am


ABDALAH Shaibu ‘Ninja’ amejiunga na klabu ya LA Galaxy inayoshiriki Ligi Kuu ya Marekani Kwa kandarasi ya miaka mitatu.

Nyota huyo amejiunga na klabu hiyo akitokea klabu ya Yanga ambapo msimu uliopita alitupia mabao mawili ndani ya Yanga.

Ndani ya kikosi chake kipya atakutana na nyota wa zamani wa klabu ya Manchester United, Zlatan Ibrahimovic ambaye alicheza pia Barcelona.


Nafasi yake uwanjani ni beki na alikuwa mhimili ndani ya Yanga msimu uliopita licha ya kupitia changamoto nyingi za kiuchumi alikaza na mwisho wa siku anavuna kile alichokipanda.

JESHI LA SIMBA LILILOKWEA PIPA KUELEKEA MSUMBIJI LEO HILI HAPA HAWA HAPA NANE WAMEBAKI BONGO WAKATI SIMBA IKIKWEA PIPA KUWAFUATA WAPINZANI WAO KIMATAIFA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply