Uncategorized

YANGA SASA KULA SAHANI MOJA NA WABOTSWANA, WATUA BONGO KIBABE

admin August 9, 2019 3:29 pm


YANGA leo imerejea kutoka visiwani Zanzibar ambapo waliweka kambi maalumu kujiandaa na mchezo wao wa kimataifa dhidi ya Township Rollers utakaochezwa kesho uwanja wa Taifa.

Yanga itamenyana na Township Rollers ya Botswana majira ya saa 12:00 uwanja wa Taifa ukiwa ni mchezo wa awali wa kimataifa kwenye Ligi ya Mabingwa. 

Mchezo wa pili wa marudio unatarajiwa kuchezwa kati ya Agosti 23-25 nchini Botswana.

Mrisho Ngassa amesema kuwa wapo tayari kwa ushindani na imani yao ni kupata matokeo chanya mbele ya wapinzani wao.

NJAA ALIYONAYO KAGERE, IINGIE KWENU ILI MPIGANIE MAFANIKIO KAGERA ATOA NENO ZITO UKO SIMBA,ZAHERA ATOA NENO KWA TOWNSHIP ROLLERS

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply