Uncategorized

LIPULI YATAJA INACHOKITAKA LIGI KUU MSIMU UJAO

admin August 10, 2019 8:34 am


UONGOZI wa Lipuli umesema kuwa msimu ujao hauna hesabu ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara wao hesabu zao ni kushika nafasi tano za juu.

Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Habari wa Lipuli  Clement Sanga amesema kuwa malengo makubwa ni kuwa ndani ya nafasi tano za juu

“Tumejipanga na kipaumbele chetu kikubwa ni kuona kwamba tunashika nafasi tano za juu hasa ile nafasi ya pili na ya tatu hatuna mpango wa kutwaa ubingwa.

“Vijana wanajiweka fiti kuelekea Agosti 23 ambapo ligi inatarajiwa kuanza na kila kitu kipo sawa mashabiki watupe sapoti,” amesema.

YANGA, SIMBA, KMC AZAM FC WAPINZANI WENU NI VISIKI ILA WANAFUNGIKA NIYONZIMA ATUMA UJUMBE KWA KMC LEO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply