Uncategorized

MAGURI UNGANA NA KESSY ZAMBIA

admin August 16, 2019 9:59 am


Mshambuliaji kutoka Elias Maguri amejiunga na klabu ya Nakambala Leopards FC inayoshiriki ligi kuu nchini Zambia.

Maguri amejiunga na Nakambala kwa kusaini mkataba wa mwaka mmoja akitokea klabu ya KMC ya Dar.

Ikumbukwe Maguri aliwahi kuichezea klabu ya Simba miaka kadhaa nyuma lakini baadaye aliachwa na kutimkia uarabuni na baadaye akarejea Tanzania kuichezea KMC.

GLOBAL FC KUMALIZANA NA DSJ FC MAZIMA LEO NYOTA WATATU WA SIMBA KUIKOSA AZAM FC KESHO TAIFA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply