Uncategorized

NYOTA WAWILI WA AZAM FC KUIKOSA SIMBA KESHO, ISHU YA KANGWA IPO NAMNA HI

admin August 16, 2019 3:49 pm


KESHO Uwanja wa Taifa hapatoshi, ambapo Simba itamenyana na Azam FC kwenye mchezo wa ngao ya Jamii.

Mchezo huo ni maalumu kwa ajili ya ufunguzi wa Ligi Kuu Bara ambayo inatarajiwa kuanza Agosti 23.

Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Habari wa Azam FC amesema kuwa kikosi kipo kamili gado kuwavaa wapinzani wao kesho ila kitawakosa nyota wao wawili tu.

“Bruce Kangwa yupo kamili gadoo kuwavaa Simba hivyo ni kazi ya mwalimu tu kumpanga, wachezaji ambao tutawakosa ni Agrey Moris pamoja na Mudathir Yahya,” amesema.

YANGA YACHOMOLEWA BETRI 2-0 NA POLISI NA TANZANIA MOSHI USIKOSE KESHO GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI UJUE KUHUSU KAMBI YA YANGA PAMOJA NA MCHEZO WA SIMBA V AZAM FC

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply