Uncategorized

LIVE: SIMBA 2-1AZAM FC

admin August 17, 2019 4:31 pm


UWANJA wa Taifa kwa sasa mchezo unaoendelea ni kati ya Simba dhidi ya Azam FC.

Huu ni mchezo wa ngao ya Jamii, Simba inaongoza kwa mabao 2-1.

Yote yamefungwa na Shibob dakika ya 17 na 21 huku lile la Azam FC likifungwa na Idd Chilunda.

Azam FC walianza kuandika bao moja matata sana kupitia kwa Idd Chilunda dakika ya 13 kabla ya Shibob kusawazisha kwa kichwa dakika ya 16 kwa upande wa Simba.

REKODI ZA MBRAZIL WA YANGA BADO ZINAPETA TU BONGO SADIO MANE NI ANA BALAA NDANI YA LIVERPOOL

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply