Uncategorized

POLISI TANZANIA YACHEKELEA KUINYOOSHA YANGA

admin August 17, 2019 2:36 am


DITRAM Nchimbi, mchezaji wa Polisi Tanzania amesema kuwa ushindi wao mbele ya Yanga ni mwanzo mzuri kwa kikosi hicho kuelekea kwenye msimu mpya unaotarajiwa kuanza Agosti 23.


Nchimbi, jana alifunga bao la pili kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Yanga uliochezwa Uwanja wa Ushirika Moshi na lile la kwanza lilipachkwa na Marcel Kaheza.

Nchimbi amesema kuwa:”Kupata ushindi mbele ya Yanga ni mwanzo mzuri kwetu kwani unatufanya tuzidi kujiamini na kuongeza nguvu kwa ajili ya msimu mpya, hivyo kikubwa kwetu ni kuendelea kujipanga kufanya vizuri zaidi,” amesema.
KOCHA YANGA ATAJA SABABU YA KICHAPO CHA MABAO 2-0 MBELE YA POLISI TANZANIA LUKAKU BANA AIPIGA DONGO TIMU YAKE YA ZAMANI MANCHESTER UNITED

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply