Uncategorized

UZITO WA UNYOYA NASSIBU AWA MBABE HUKU LILE LA UZITO WA BANTAM, TONNY AIBUKA KIDEDEA

admin August 26, 2019 9:07 am


Mapambano ya Ubingwa wa Afrika Mashariki na kati, yamefanyika kwa kishindo usiku wa kuamkia leo Agosti 24, 2019 Club 361 Mwenge jijini Dar es Salaam.


Mabondia wametifuana kuwania ubingwa wa Afrika Mashariki huku wajeda nao wakijiwinda na michuano ngumi za ridhaa ya kimataifa ya majeshi yanayotarajiwa kufanyika mapema hivi karibuni.

Katika mtifuano huo mkanda wa Ubingwa Afrika Mashariki uzito wa Unyoya ulianza kupiganiwa na Issa Nampepechena Nassibu Ramadhani pambano lililokuwa na raundi kumi ambapo Nassibu aliibuka na ushindi.
Pambano lingine la Ubingwa wa Afrika Mashariki uzito wa Bantam nalo lilikuwa la raundi kumi kati ya bondia, Tonny Rashid na Haidari Mchanjo ambapo Tonny ndiye aliyeutwaa mkanda huo.
UD SONGO WALIISHINDA SIMBA KWA KUTUMIA SILAHA ZA SIMBA, WAKATI WA KUNYANYUKA NA KUSONGA MBELE NI SASA HIZI HAPA ZIMETINGA 16 BORA SPRITE B BALL KINGS

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply