Uncategorized

NADO ATUPIA KAMBANI AZAM IKIITWANGA KMC 1-0 UWANJA WA UHURU

admin August 27, 2019 3:17 pm

Azam FC imefanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya KMC FC, mechi ikichezwa kunako Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.


Mechi hiyo iliyokuwa ya aina yake kwa timu zote mbili kucheza soka la kuvutia, ulimshuhudia mshambuliaji Idd Suleiman Nado akitupia kambani bao hilo katika dakika ya 15 ya mchezo.

Bao hilo limefanikiwa kudumu kwa dakika zote 90 mpaka mpira unamalizika matokeo yakiwa ni 1-0.

Timu hizo mbili zimekutana kwa mara ya kwanza katika ligi tangu kumalizika kwa msimu uliopita.
WASHINDI WA MILIONI 825 ZA JACKPOT BONUS SPORTPESA WAELEZEA WALIVYOZIPATA MCHEZAJI YANGA ATAJA MADHAIFU YA TIMU HIYO KUELEKEA MECHI NA ZESCO, AONYA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply