Uncategorized

MANE, SALAH KUCHEZA NA SAMATTA

admin August 30, 2019 8:27 am


Mshambuliaji Mtanzania, Mbwana Samatta anayechezea Genk atakuwa na nafasi ya kucheza dhidi ya Liverpool ya England katika Hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya ratiba ya michuano hiyo kupangwa jana jioni kwa msimu wa 2019/20.

Katika tukio hilo la upangwaji makundi pia kulitolewa tuzo za michuano hiyo kutokana na ligi ya msimu uliopita. Tuzo zilikuwa hivi: Kipa Bora ni Alisson wa Liverpool, Beki Bora ni Virgil van Dijk (Liverpool), Kiungo Bora ni Frenkie de Jong (Barcelona), Mshambuliaji Bora ni Lionel Messi (Barcelona) na Mchezaji Bora wa Ulaya ni Virgil van Dijk.

HATUA YA USAJILI WA NEYMAR KWENDA BARCELONA ILIPOFIKIA HABARI NJEMA!! DUDUBAYA AOKOKA, AFANYIWA MAOMBI YA KUFA MTU

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply