AC Monza vs ACF Fiorentina
Meridianbet

Odds za Leo Meridianbet Ni Uhakika Unajiokotea Mamilioni

Vardo November 23, 2026 1:41 pm

Hatimaye ile siku ya kutusua imewadia na timu kibao zimejiandaa kwa ajili ya kukupatia maokoto ya maana kupitia Meridianbet. Kama unatafuta mahali sahihi pa kuweka jamvi lako leo, Meridian bet imekuwekea machaguo yenye thamani kubwa kwenye ligi kubwa barani Ulaya. Je, nani unampa nafasi kubwa ya kuondoka na ushindi? Ingia kwenye akaunti yako ya Meridianbet na ubeti sasa.

1. SERIE A: AC Monza vs ACF Fiorentina (Saa 4:45 Usiku)

Ligi kuu ya Italia SERIE A inaendelea leo ambapo AC Monza atamenyana dhidi ya ACF Fiorentina katika mchezo unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kutokana na timu zote mbili kuwa katika nafasi za chini kwenye msimamo wa ligi.

Wenyeji Monza wanaingia uwanjani wakiwa na kiu ya ushindi baada ya kupoteza mechi 4 kati ya 5 za mwisho, huku changamoto kubwa ikiwa ni safu yao ya ulinzi na umakini wa kutumia nafasi. Kwa upande wao, Fiorentina hawajawa na mwendelezo mzuri wa matokeo, lakini ubora wa nyota wao kama Mastantuono na Pellegrino unawapa nafasi kubwa ya kuondoka na pointi tatu.

Odds za Meridianbet (Monza vs Fiorentina):

  • AC Monza Kushinda (1): 3.60

  • Sare (X): 3.80

  • ACF Fiorentina Kushinda (2): 1.94

  • Over 2.5 (Magoli 3+): 1.60

Je, nani ataibuka kidedea leo? Bashiri hapa kupitia Meridianbet.

Jishindie Pesa Haraka Kwenye Kasino ya Mtandaoni!

Mbali na soka, Meridianbet inakupa nafasi ya kujishindia pesa nyingi kwenye michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine mingi. Jiunge leo na Meridian bet kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

2. LALIGA: Levante UD vs Elche CF (Saa 5:00 Usiku)

Pesa nyingine ipo kule Hispania kwenye La Liga ambapo Elche CF atakuwa ugenini kupepetana dhidi ya Levante UD. Timu hizi zinakutana zikiwa zinafukuzana chini ya msimamo zikitofautiana pointi 1 pekee, hivyo pointi 3 za leo ni muhimu kama dhahabu kwa kila upande.

Levante wanaingia kwenye mchezo huu wakitoka kupata sare tasa ya 0-0 dhidi ya Celta Vigo—ishara kwamba wana nidhamu nzuri ya ulinzi japo wanahitaji kuongeza makali mbele. Elche wao wanatafuta kurejea kwenye njia ya ushindi baada ya kupoteza 2-0 dhidi ya Real Betis. Takwimu zinaonesha kuwa msimu uliopita kila timu ilishinda nyumbani kwake; je, historia itajirudia leo kwenye mkeka wako wa Meridianbet?

Odds za Meridianbet (Levante vs Elche):

  • Levante UD Kushinda (1): 2.22

  • Sare (X): 3.50

  • Elche CF Kushinda (2): 3.10

  • Under 2.5 (Chini ya Magoli 3): 1.70

3. EPL: Brentford FC vs Everton FC (Saa 5:00 Usiku)

Ligi kuu ya Uingereza (EPL) itashuhudia mtanange mmoja mkali kati ya Brentford FC dhidi ya Everton FC pale dimba la Gtech Community. Mchezo huu unatarajiwa kuwa wa kukata na shoka kutokana na aina ya soka la kasi wanalocheza timu zote mbili.

Brentford wametoka kupoteza mechi yao iliyopita na watataka kutumia faida ya uwanja wa nyumbani kujirekebisha, wakati The Toffees (Everton) wakiingia wakiwa na morali ya juu baada ya kushinda mchezo wao uliopita, huku timu hizi zikitofautiana pointi 2 pekee kwenye msimamo. Weka jamvi lako mapema kupitia Meridian bet ufurahie malipo ya haraka.

Odds za Meridianbet (Brentford vs Everton):

  • Brentford FC Kushinda (1): 2.30

  • Sare (X): 3.45

  • Everton FC Kushinda (2): 3.05

Usisubiri kusimuliwa, tengeneza mkeka wako wa ushindi na Meridianbet sasa! Jisajili hapa.

Fadlu Davids Afunguka Ukweli Kuhusu Ukame wa Mabao wa Selemani Mwalimu Yanga Totally Headless II™ Yawasili Meridianbet: Zungusha Ushinde Mamilioni Leo!