Man Utd Kushuka Daraja? Hali Mbaya Msimamo wa Ligi Kuu England
Carrick anaijua vizuri machungu ya kushuka daraja. Msimu wa 2002/03 akiwa na West Ham United, alionja shubiri hiyo licha ya kikosi chao kusheheni nyota wakubwa…
Carrick anaijua vizuri machungu ya kushuka daraja. Msimu wa 2002/03 akiwa na West Ham United, alionja shubiri hiyo licha ya kikosi chao kusheheni nyota wakubwa…
LONDON, ENGLAND — Kocha mwenye jina kubwa duniani, Antonio Conte, amevunja ukweli na kukanusha vikali taarifa zilizokuwa zikisambaa zikimhusisha na kiti cha ukocha cha klabu…
Mechi nyingi kutoka ligi mbalimbali zinaendelea siku ya leo. Kila timu inawania pointi 3 za ushindi. Je nani kuondoka na ushindi leo? ITALIA, SERIE A itaendelea…
Kiungo machachari wa Arsenal, Declan Rice, yupo katika hatua za mwisho za kukamilisha makubaliano ya mkataba mpya wa muda mrefu kusalia katika klabu hiyo ya…
Tuzo za mchezaji bora duniani za Ballon d’Or 2026 zinatarajiwa kutolewa rasmi Jumatatu usiku, Oktoba 26, jijini London, England. Hata hivyo, kutangazwa kwa orodha ya…
MANCHESTER, ENGLAND — Tangu klabu ya Manchester City ipatikane na hatia ya kukiuka kanuni za kifedha za Ligi Kuu England (EPL) kwa miaka tisa (2009-2018),…
LONDON, ENGLAND – Gwiji wa zamani wa Liverpool, Graeme Souness, ametoa onyo zito akidai kuwa historia ya mafanikio makubwa ya Manchester City inaweza kuingia kwenye…
Leo Ijumaa, Julai 24, klabu ya Kinorwe Rosenborg BK itapokea wageni wazito kutoka Uingereza, Manchester United, katika mchezo wa kirafiki utakaofanyika kwenye uwanja wa Lerkendal…