Uncategorized

TSHISHIMBI KUFIKISHA YANGA HATUA WALIYOFIKA SIMBA CAF

admin September 2, 2019 10:10 am


Papy Tshishimbi ambaye ni nahodha wa timu ya Yanga  kwa sasa ameweka msisitizo wa timu yake kufika katika rekodi ambayo iliwekwa na wapinzani wao wa jadi, Simba, msimu uliopita kwa kucheza hatua ya makundi.

“Tunataka kufika katika makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, hilo ndiyo lengo letu ambalo tumejiweka wachezaji kwa sasa.

“Tunajua itakuwa mechi ngumu tutakapopambana  na Zesco lakini tutapambana kuona tunashinda na kutinga kwenye makundi kama kila moja anavyotamani hapa,” alisema Tshishimbi.

Yanga inakutana na Zesco baada ya kuitupa nje Township Rollers katika Ligi ya Mabingwa Afrika kwa jumla ya mabao 2-1.

KIUNGO YANGA AWAHAKIKISHIA WANACHAMA KUICHAKAZA ZESCO MBASHA AANIKA HISIA ZAKE LIVE KWA FAIZA ALLY BAADA YA KULIA KISA SUGU, AMTAKA AENDE KWAKE

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply