Uncategorized

MWANADADA OLIVA SHIRIMA AFANYA YAKE SPORTPESA AKIBEBA SH MILIONI 5.3

admin January 10, 2020 12:31 pm

Mshindi wa bonasi wiki hii ya Jackpot ya SportPesa Bi. Oliva Andrea Shirima kulia akikabidhiwa mfano wa hundi ya shilingi mil 5,334,294/= na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Bwana Tarimba Abbas katika ofisi zao jijini Dar es Salaam akiwa ni mwanamke wa kwanza kushinda bonasi kwa mwaka 2020.Jackpot ya SportPesa kwa sasa imesimamia kiasi cha shilingi 392,233,700/= TZS.

HAWA HAPA USO KWA USO KWENYE KOMBE LA FA, SIMBA V MWADUI, YANGA V PRISONS NAHODHA WA BARCELONA AWA MKALI KINOMA, AKASIRISHWA NA ZAWADI YA KICHAPO MBELE YA ATLETICO MADRID

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply