Uncategorized

SALAMBA: NINAPATA USHIRIKIANO MZURI KWA WENZANGU

admin January 13, 2020 5:03 am


ADAM Salamba, mtanzania anayekipiga kwa sasa ndani ya timu ya Al-Jahra SC, iliyopo Uarabuni amesema kuwa ushirikiano anaopewa na wachezaji wenzake ni mkubwa.

Akizungumza na Saleh Jembe, Salamba amesema kuwa amekuwa akifurahia maisha ya huko kutokana na ushirikiano anaopewa na wachezaji wenzake.

“Huku ninaishi vizuri na wenzangu, tunashirkiana vema na kila mchezaji jambo ambalo linanifanya niwe na furaha.

“Nafanya yote kutokana na kupenda kazi yangu, nipo huku ila napeperusha vema bendera ya Tanzania kwani wengi wanapenda kutambua habari za nyumbani,” amesema Salamba.

NYOTA MWINGINE WA SIMBA SASA KUTUA NDANI YA YANGA, MIEZI SITA TU ASEMA INAMTOSHA MAZITO AYAFIKIRIA MBELGIJI WA YANGA KWA SASA, AINGIA VITANI NA SIMBA JUMLA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply