Uncategorized
MO ATOA TAMKO LINGINE JIPYA NDANI YA SIMBA BAADA YA KUPOTEZA KOMBE LA MAPINDUZI
admin
January 14, 2020
8:57 am
BAADA ya jana kupitia ukurasa wake wa kijamii kuandika kwamba anaondoka kwenye nafasi ya kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Simba kutokana na timu hiyo kupoteza mchezo wa fainali kwa kufungwa bao 1-0 na Mtibwa Sugar leo Mo amekuja na maamuzi haya kwamba ilikuwa bahati mbaya ilitokea kwenye akaunti yake
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.