Mbwana Samatta
Uncategorized

ASTON VILLA TAYARI KWA SAMATTA, YAKUBALI KUMWAGA KITITA CHA PAUNI MILIONI 10

admin January 16, 2020 8:57 pm




Mshambuliaji wa KRC Genk, Mbwana Samatta amefikia makubaliano na klabu ya Aston Villa ya England.

Samatta anatarajia kujiunga na Aston Villa ambayo inashiriki Ligi Kuu England.

Aston Villa imekubali kulipa dau la pauni milioni 10 ili kumpata Samatta ambaye msimu uliopita alikuwa kinara wa ufungaji mabao katika kikosi hicho cha Ubelgiji.
SIMBA BABA LAOO, YAIPIGA MBAO, YAIACHA YANGA KWA POINTI 13 SASA BAADA YA KUMALIZANA NA ASTON VILLA, SAMATTA KUFANYIWA VIPIMO KESHO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply