Uncategorized

ISHU YA KICHUYA KUREJEA YAACHA MASWALI HAYA MATANO KWA JEMBE, HEBU TUSAIDIANE KUMJIBU

admin January 16, 2020 9:57 am


KUTOKANA na timu ya Simba iliyo chini ya Kocha Mkuu, Sven Vanderbroeck kumrejesha ndani ya kikosi hicho mchezaji wao wa zamani, Shiza Kichuya, Saleh Jembe amekuwa na maswali matano ambayo anahitaji msaada kujibiwa.

Jembe amesema: “Kama umeelewa vizuri TUSAIDIANE…. Sijawahi kusema Shiza Kichuya ni mchezaji mbaya lakini nilikuwa najiuliza maswali kadhaa, kama una majibu TUSAIDIANE, ndio uanamichezo wenyewe… SIMBA KUMSAJILI KICHUYA NI KWA SABABU YA…. 1. Kuwahi Yanga wasimpate…
2. Siasa ya kupoza Sakata la bosi…
3. Kumsitiri kijana wao baada ya mambo kutoenda poa..
4. Usajili wa Simba una walakini kwa namba za pembeni
5. Kweli ni chaguo la Kocha au Nani anaamua… ….????

HIKI NDICHO KINACHOIMALIZA KMC KUSHINDWA KUPATA MATOKEO CHANYA, DAWA YAKE YAPATIKANA ALIYEMTUNGUA MANULA NDANI YA MBAO ANA JAMBO LAKE JINGINE TENA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply