Uncategorized

LIGI KUU BARA: MBAO 0-0 SIMBA

admin January 16, 2020 1:27 pm


Kipindi cha Kwanza: Mbao 0-0 Simba
Uwanja wa CCM Kirumba

Mchezo unaoendelea kwa sasa Uwanja wa CCM Kirumba ni kati ya Mbao FC na Simba kipindi cha kwanza hakuna mbabe.

Leo Januari 16 Mbao imewakaribisha Simba kwenye mchezo wao wa kwanza msimu huu ambao una ushindani mkubwa.

Mashabiki wamejitokeza kushuhudia ushindani mkubwa wa ligi ambayo inazidi kushika kasi.

SINGIDA UNITED YAGOMEA KUSHUKA DARAJA SIMBA BABA LAOO, YAIPIGA MBAO, YAIACHA YANGA KWA POINTI 13 SASA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply