Uncategorized

LIGI KUU BARA: ALLIANCE 1-0 SIMBA

admin January 19, 2020 1:32 pm




Alliance 1-0 Simba
Uwanja wa CCM Kirumba
Goool: Israel Mwenda dk ya 27

Dakika ya 30 Chinedu anapewa huduma ya kwanzaDakika ya 27 Patrick Mwenda anafunga Goooal akiwa nje ya 18
Dakika ya 26 Nyoni anamchezea rafu mchezaji wa Alliance nje kidogo ya 18Dakika ya 24  Nyoni anapeleka mashambulizi Alliance
Dakika ya 19 Shiboub anapaisha juu pasi ya Kahata akiwa ndani ya box
Dakika ya 16 Kahata anapeleka mashambulizi kwa Alliance
Dakika ya 15 Simba wanapata kona ya nne inapigwa Chama
Dakika ya 13 Kakolanya anaokoa hatari
Dakika 12 Dilunga anapasha mpira akiwa na minda mlango 
Dakika ya 11 Uwanja wa CCM Kirumba
Dakika ya 10 Chama anapiga kona ya pili kwa Simba

HILI HAPA JESHI LA SIMBA LITAKALOANZA LEO DHIDI YA ALLIANCE FC YA MWANZA, CCM KIRUMBA MAMBO 7 YANAYOILAZIMISHA ASTON VILLA KUHAKIKISHA INAMPATA NA KUMTUMIA SAMATTA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply