Uncategorized

VURUGU MECHI LA KMC NA LIPULI LIMEFIKIA HAPA, SABABU YA KUSAJILIWA YATAJWA

admin January 24, 2020 2:56 pm

MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ndani ya timu ya KMC, ambaye pia ni Meya wa Wilaya ya Kinondoni, Samweli Sitta amesema kuwa walimuajiri Haruna Harerimana baada ya kuwathibitishia kwamba hana mkataba na timu yoyote.

Harerimana ameibukia KMC akitokea Lipuli ya Iringa ambayo imesema kuwa imamua kushitaki kocha huyo kwenye Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa kuacha kuifundisha timu hiyo kinyume na mkaataba.
Sitta amesema:” Alituthibitishia yeye mwenyewe kwamba hana mkataba na alikuwa ni miongoni mwa wale walioomba kazi baada ya kutangaza nafasi za kazi ndani ya KMC.

Harerimana amesema kuwa:’Unajua Lipuli wamevunja mkataba wao wenyewe kwa miezi saba ambayo nimetumikia wao wamenilipa miezi miwili tu na ushahidi ninao.

Kaimu mwenyeki wa timu ya Lipuli, Ayubu Kihwelo amesema kuwa tayari wamandika barua kutokana na kocha huyo kuonekana katika benchi ya ufundi la KMC kinyume na utaratibu.


 โ€œTumemuandikia barua yeye lakini pia na TFF kwa ajili ya kumfungulia mashataka kwa sababu ameenda kusaini sehemu nyingine akiwa na mkataba halali na Lipuli na mkataba huu ulikuwa unaisha mwezi wa saba ambao ulikuwa wa mwaka mmojaโ€ Kihwelo. 

KMC imeingia makubaliano na Harerimana kwa kandarasi ya miezi 18 akichukua mikoba ya Jakson Mayanja.

AZAM TV WAIBUKA KIVINGINE NA APP YA KISASA ZAIDI YA MAX MTANGAZAJI NGULI NCHINI AMUONDOA SAMATTA KIKOSINI ASTON VILLA – VIDEO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply