Uncategorized

MASHABIKI WAOMBWA KUIPA SAPOTI LIPULI, LIGI NI MOTO

admin January 25, 2020 11:56 am


PAUL Nonga nahodha wa Lipuli amesema kuwa ligi ya msimu huu wa 2019/20 ni ngumu jambo linalowafanya wapambane wakiwa ndani ya uwanja kupata matokeo.

Lipuli ipo nafasi ya nane ikiwa na pointi zake 25 baada ya kucheza mechi 17 imefunga jumla ya mabao 25 ambapo Nonga amehusika kwenye jumla ya mabao 12 akifunga nane na kutoa jumla ya pasi nne za mabao.

“Ligi ya msimu huu imekaza na kila timu inapambana kupata matokeo jambo hilo linatufanya nasi tupambane kupata matokea chanya, mashabiki waendelee kutupa sapoti,” amesema Nonga.

NYOTA WA KMC AFICHUA KILICHO NYUMA YA MAFANIKIO YA KUTEMBEZA MABAO 5-0 MBELE YA PAN AFRICAN KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA MWADUI FC, MANULA NJE

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply