Uncategorized

VPL: SIMBA 0-0 NAMUNGO

admin January 29, 2020 4:22 pm


Dakika ya 15 Namungo wanapiga kona ya kwanza 
Dakika ya 14 Kapombe anakosa nafasi
Dakika ya 13 Ajibu anapiga kona haizai matunda
Dakika ya 11 Namungo wanaotea
Dakika ya 10 Namungo wanaanua majalo ndani ya box
Dakika ya 08 Ajibu anapiga faulo haileti matunda
Dakika ya 05 Namungo walifanya jaribio ambalo liliokolewa na Kakolanya
Kipindi cha kwanza:Simba 0-0 Namungo
Uwanja wa taifa
Ligi Kuu Bara

KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA NAMUNGO FC KAGERE AMALIZA SHUGHULI TAIFA, AACHA KILIO KWA NAMUNGO KWA BAO LAKE LA USIKU

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply