Uncategorized

MAMA KABWILI APATWA NA PRESHA, APELEKWA HOSPITALI – VIDEO

admin February 1, 2020 9:36 pm

KIPA namba tatu wa Yanga Ramadhani kabwili ameondolewa kwenye kambi ya timu hiyo baada ya kupata taarifa za mama yake mzazi presha kushuka kabla ya kukimbizwa hospitali kwa ajili ya kupatiwa matibabu.

Hiyo ikiwa ni siku moja tangu kipa huyo aitwe na maofisa wa Takukuru kwaajili ya kuhojiwa baada ya kudaiwa kutoa taarifa za kuahidiwa kupewa gari aina ya IST na mmoja wa viongozi wa Simba endapo angekubali kupewa kadi ya njano ili akose mchezo unaofuata waliotarajiwa kukutana na watani wao Simba.

SIMBA YAZIDI KUMVAA KABWILI, TAMKO JINGINE LATOLEWA MTAALAMU HATARI KUTOKA BENFICA ALIYESHUSHWA NA YANGA HUYU HAPA – VIDEO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply