Uncategorized

AZAM FC YAZITAKA POINTI TATU ZA MBEYA CITY

admin February 2, 2020 11:06 am

JAFFARY Maganga,Ofisa Habari wa Azam FC amesema kuwa leo watapambana mbele ya Mbeya City kuzisaka pointi tatu muhimu.


Azam FC iliyo chini ya Kocha Mkuu, Arstica Cioaba ililazimisha sare ya kufungana bao 1-1 leo itamenyana na Mbeya City Uwanja wa Samora, Iringa.

Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Habari wa Azam FC, Maganga alisema kuwa kila kitu kipo sawa na baada ya kulazimisha sare mbele ya Mtibwa Sugar watapambana kupata pointi tatu mbele ya Mbeya City.

“Mchezo wetu uliopita mbele ya Mtibwa Sugar tulibanwa na tulilazimisha sare ya kufungana bao 1-1, kwa sasa tunautazama mchezo wetu dhidi ya Mbeya City kiupekee na tutapambana kupata pointi tatu mashabiki watupe sapoti,” amesema.
SALAH ANA JAMBO LAKE HUKO ANATAKA KULIFANYA, BALAA LAKE SI MCHEZO JEMBE AWASHUKURU WASOMAJI WAKE WAKATI AKIONGEZA MWAKA MWINGINE

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply