Uncategorized

MCHEZAJ YANGA AAMUA KUFUNGUKA JUU YA KIWANGO CHA TIMU YAKE

admin February 2, 2020 9:36 pm

Mchezaji wa zamani wa Yanga, Bakari Malima, amesema kuwa kiwango cha timu hiyo kwa sasa kimezidi kuongezeka.

Malima ameeleza namna uchezaji wa Yanga unavyoenda hivi sasa inaonesha ni namna gani timu inajengeka.

Mkongwe huyo aliyetamba miaka ya nyuma amefunguka akieleza Yanga ilikuwa inapitia wakati mgumu kwa kuangalia na uwepo wa wachezaji wengi ambao ni wapya.

Jana Yanga iliibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mtibwa Sugar uliochezwa kunako Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
SIMBA HII SHANGWE TU LIVERPOOL YATAKA KUFANYIWA UMAFIA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply