Uncategorized

HAJI MANARA WA SIMBA ALA DILI AZAM MEDIA

admin February 3, 2020 6:36 pm


HAJI Manara, Ofisa Habari wa Simba amepata dili la kuwa balozi wa bidhaa za Azam Media na Influencer (Mtu wa ushawishi kwenye mitandao) wa La Liga Experience 2020.

Mkataba huo amesaini leo Februari,3,2020 kwa ajili ya kufanya kazi na kampuni ya Azam Media.

Manara amesema kuwa ni mkataba mwingine utakaompa fursa adhimu ya kufanya kazi na kampuni kubwa zaidi ya habari lakini pia anaamini utaiwezesha kampuni kuendelea kutangaza bidhaa zake sambamba na ligi kuu ya Spain La Liga ambayo Azam tv wanaionyesha.


MOURINHO ABEBA MATUMAINI KIBAO KWA NYOTA WAKE MPYA NDANI YA SPURS KAMA UNADHANI GWAMBINA WATAKUWA MTELEZO KWA YANGA, HUU HAPA UJUMBE WAO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply