Uncategorized

VPL: SIMBA 1-1 POLISI TANZANIA

admin February 4, 2020 5:39 pm




Simba 1-1 Polisi Tanzania
Sabilo gool dk 22
Bocco Goaal dk 56
MPIRA kati ya Simba na Polisi Tanzania ya Moshi Uwanja wa Taifa ni kipindi cha pilBao ni 1-1 kwa sasa Uwanja wa Taifa


Haujaanza kutokana na tatizo la taa Uwanja wa Taifa baada ya kujadiliana kwa muda kidogo umeanza na sasa unaendelea

Polisi Tanzania walianza kufunga bao lililopachikwa kipindi cha kwanza na nyota wa Polisi Tanzania Sixtus Sabilo dakika ya 22.

NYOTA MPYA WA MANCHESTER UNITED APEWA MUDA WA MWEZI MMOJA NA KOCHA WAKE KISA YANGA MZAMIRU HALI TETE SIMBA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply